Tangazo la Nafasi za Kazi β Halmashauri ya Wilaya ya Siha (10 Juni 2025)
Halmashauri ya Wilaya ya Siha inatangaza ajira kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi 9 za kazi, kufuatia kibali cha ajira kutoka Ofisi ya Rais β Utumishi wa Umma. Nafasi zilizotangazwa ni kwa ajili ya kada ya Udereva na Uhazili. π Nafasi Zinazotangazwa 1. Dereva Daraja la II β Nafasi 5 Majukumu: Sifa: Mshahara: Ngazi