Tangazo la Nafasi za Kazi – Halmashauri ya Wilaya ya Njombe (Juni 2025)
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imepata kibali cha kuajiri watumishi wapya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa msingi huo, inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mbalimbali za kazi kama ilivyoainishwa hapa chini: Nafasi Zinazotangazwa: 1. Msaidizi