Tangazo la Nafasi za Kazi – Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro (10, Juni 2025)
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kwa ajili ya kujaza nafasi tano (5) za Dereva Daraja II, kufuatia kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichopewa tarehe 29 Aprili 2025. 📌 Nafasi ya Kazi: Dereva Daraja la