MWALIMU DARAJA LA III C - (MUSIC PERFOMANCE)(RE-ADVERTISED) - 2 POST
Ajira Portal
Description
POST | MWALIMU DARAJA LA III C - (MUSIC PERFOMANCE)(RE-ADVERTISED) - 2 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-02-10 2025-02-20 |
APPLY DIRECT HERE
Responsibilities
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Requirements
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la ‘’Music Perfomance’’ kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la ‘’Music Perfomance’’. Pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
AUWenyeShahadaisiyoyaUalimukatikafaniya‘’MusicPerfomance’’.Waombaji ambaohawanasomolaUALIMUnilazimawawetayarikupatamafunzoyaUALIMU baada ya kuajiriwa.